Presentation is loading. Please wait.

Presentation is loading. Please wait.

UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI.

Similar presentations


Presentation on theme: "UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI."— Presentation transcript:

1 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

2 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 01 Sura ya 2.e. Uchunguzi na ubainishaji – Uwekaji Hatua Prof. Achim Schneider, MD, MPH Charité Universitätsmedizin Berlin, Ujerumani

3 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 02 Saratani ya Mlango wa Kizazi Ubainishaji Uwekaji Hatua Tiba Upasuaji Mnururisho Tibakemikali Ubashiri wa ugonjwa Matibabu ya ufuatilizi

4 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 03 Mfumo wa FIGO wa Uwekaji Hatua Hatua ya IHatua ya II Hatua ya IIIHatua ya IV

5 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slide 04 Hatua ya I (1) TNMFIGO TX Uvimbe wa kimsingi huwezi kukadiriwa T0 Hakuna uhakiki wa uvimbe wa kimsingi Tis0 Kasinoma inayodhihirika (saratani kabla ya kuanza kuenea) T1I Kasinoma ya mlango wa kizazi iliyozuiliwa kwenye mfuko wa uzazi (utando hadi kwenye kiungo haufai kutiliwa maanani) T1aI A Saratani inayoenea inaweza kugunduliwa tu kwa kutumia hadubini. Majeraha yote yanayoonekana kwa macho (hata yale ambayo yameenea juu juu) yako kwenye hatua ya IB/T1b T1a1I A1 Uvamizi wa Stromali (Stromal) usiozidi milimita 3 kwa kina na usiozidi upana wa milimita7 kwa kipenyo T1a2I A2 Uvamizi wa Stromali unaozidi milimita 3 lakini usiozidi milimita 5 kwa kina na usiozidi upana wa milimita 7 kwa kipenyo T1bI B Jeraha linaloonekana kitibabu lililozuiliwa katika mlango wa kizazi au jeraha linalogunduliwa kwa hadubini linalozidi ukubwa wa IA2 T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and Obstetrics Rejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

6 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slide 05 Hatua ya I (2)

7 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 06 Hatua ya (3) TNMFIGO T1bI BJeraha linaloonekana kitibabu lililozuiliwa katika mlango wa kizazi au katika jeraha linaloonekana kwa hadubini linalozidi ukubwa wa IA2 T1b1I B1 Jeraha linaloonekana kitibabu lisilozidi sentimita 4 kwa ukubwa T1b2I B2 Jeraha linaloonekana kitibabu linalozidi sentimita 4 kwa ukubwa T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and Obstetrics Rejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

8 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 07 Hatua ya I (4)

9 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 08 Hatua ya II TNMFIGO T2IIUvimbe huvamia hadi nje ya mfuko wa uzazi lakini hauenei hadi kwenye ukuta wa fupanyonga au kwenye theluthi ya chini ya uke T2aII APasipo uvamizi kwenye sehemu iliyo karibu na mfuko wa uzazi T2bII BPalipo uvamizi kwenye sehemu iliyo karibu na mfuko wa uzazi T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and Obstetrics Rejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

10 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 09 Hatua ya III TNMFIGO T3IIIUvimbe uliotanda hadi kwenye ukuta wa fupanyonga na /au uhusisha theluthi ya chini ya uke na/au husababisha kuvimba kwa figo kunaosababishwa na urejeshaji wa maji (hydronephrosis) au kutofanya kazi kwa figo T3aIII AHakuna utando hadi kwenye ukuta wa fupanyonga Uvimbe uhusisha theluthi ya chini ya uke T3bIII BUvimbe hutanda hadi kwenye ukuta wa fupanyonga na/au husababisha kuvimba kwa figo kunaosababishwa na urejeshaji wa maji (hydronephrosis) au kutofanya kazi kwa figo T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and Obstetrics Rejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

11 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 10 Hatua ya IV TNMFIGO T4IVUvimbe huingilia utando telezi wa kibofu au puru na/au hutanda hadi nje ya fupanyonga ndogo na/au huwa ni ugonjwa wa mbali T4IV AUvimbe hushambulia utando telezi wa kibofu au puru na/au hutanda hadi nje ya fupanyonga halisi T4IV BMetastasisi ya mbali T= Primary Tumour (Uvimbe wa kimsingi); N=Regional lymph nodes (Vivimbe vya limfu vya eneo); M=Distant metastasis (Metastasisi ya mbali) FIGO: International Federation of Gynaecology and Obstetrics Rejeo: http://screening.iarc.fr/atlasclassiftnm.php#reference

12 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 11 Matatizo ya Uwekaji Hatua Saratani ya mlango wa kizazi ndio uvimbe wa ginakologia pekee unaowekewa hatua kwa njia ya utibabu! -Maanani yanatiliwa tu matokeo yanayotokana na uchunguzi wa kabrasha (manual examination), utafiti wa seli za kibofu (cystoscopy), utafiti wa seli za puru (rectoscopy), bayopsi (biopsy) au utafiti wa sampuli ya koni (conisation) na uwekaji taswira wa eksirei (yurogramu ya i.v.,eksirei ya kifua) Maelezo kutoka kwa maandishi ya CT, sintigrafia (scintigraphy), limfografia (lymphography),MRI na/au laparoskopia (laparoscopy) hayana ushawishi katika hatua ya msingi

13 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 12 Mfumo wa uwekaji hatua wa FIGO FIGO haitilii maanani: Hali ya kivimbe cha limfu Kuhusishwa kwa kibofu na/au puru Uenezi wa ndani ya tumbo

14 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 13 Uwekaji taswira

15 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 14 Uingiliaji kwenye kibofu

16 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 15 Uingiliaji kwenye mnara wa puru

17 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 16 Uingiliaji kwenye kifuko cha Douglas

18 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 17 Utathmini wa kivimbe cha limfu cha karibu na aota

19 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 18 Kivimbe cha limfu cha kushoto cha fupanyonga kilichoathirika

20 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 19 Uondoaji wa kivimbe cha limfu cha karibu na aota kilichoingiliwa na uvimbe

21 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 20 Kivimbe linzi cha limfu katika saratani ya mlango wa kizazi - uwekaji lebo kwa kutumia rangi ya samawati (patent blue labelling)

22 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slaidi 21 Kivimbe linzi cha limfu katika saratani ya mlango wa kizazi - uwekaji lebo kwa kutumia kemikali ya Technetium na uchunguzi wa kupima kidonda kwa kutumia kifaa cha gamma

23 UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH Slide 22 Asante Wasilisho hili linapatikana katika www.uicc.org/curriculum


Download ppt "UICC HPV and Cervical Cancer Curriculum Chapter 2.e. Screening and diagnosis - Staging Prof. Achim Schneider, MD, MPH MTAALA WA UICC WA HPV na SARATANI."

Similar presentations


Ads by Google